Centipede Jr
Senior Member
- May 13, 2017
- 158
- 215
Huu mchezo hauhitaji hasira
Jamani nani karudi kabla ya mwenzie naomba mtusaidie maana saivi tupo kifungoniSasa mbona umerudi kabla yangu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji121]Jioni hiyooo
Jamani mlioniibia kitufe cha like naomba mrudishe maana hata mapigo si hiviKazi kweli kweli
Tena ni dar,mwanza na dodoma...Mitatu
Mpaka ndugu pia! Dadeki walahi!![]()
Huu mchezo hauhitaji hasira
Pole sanaJamani mlioniibia kitufe cha like naomba mrudishe maana hata mapigo si hivi
Naona unampa maneno ya farajaAtakubali ameshaonyesha upendo!! Labda ni wivu tu kidogo alipata
Got your back....Usitumie akili saaana kulipambanua, lipokee lilivyo
Asante mtumishiTuchague lililo bora,hata ikitugharimu tupate tuzo.Ujumbe kutoka kwenye dominika ya 13.
HahahhaaUsitumie akili saaana kulipambanua, lipokee lilivyo
Mkuu ninaogopa ku like maana uzima wangu wa leo si ukamilifu wangu wa kesho. Ni wapumbavu tu walioona yafaa kuwatendea hayo kwa wasio faa.Kati ya picha hizi mbili, ipo inayohuzunisha zaidi?
1)![]()
2)![]()
Maana naona wanataifisha kila kitu nilichonachoPole sana