Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ubelgiji aliifungia United mabao yote dhidi ya Burnley yakionekana kuwafariji kutokana na kichapo cha nyumbani cha mabao 3-0 walichokipata kutoka kwa Tottenham.

Baada ya mapumziko ya kupisha mechi za kimataifa, Man United watasafiri kuifuata timu ngumu msimu huu ya Watford.
 
Mashabiki wa Manchester United wamesikia kauli wanayotamani igeuke na kuwa kweli, baada ya kipa wao wa zamani Peter Schmeichel kutamka kuwa anaamini Kocha Jose Mourinho atawapa ubingwa wa Ligi Kuu England.

Schmeichel aliyeidakia Man United kwa mafanikio makubwa katika mechi 398, alikuwepo uwanjani timu hiyo ilipoiduwaza Burnley kwa mabao 2-0 licha ya kuwa ugenini kwenye Uwanja wa Turf Moor jana Jumapili.
 
Baada ya mchezo huo alisema hakuna haja ya mashabiki kuwa na wasiwasi na Mourinho, kutokana na kiwango alichokiona anaamini United sasa imeiva na ilaleta ubingwa Old Trafford.

Schmeichel alisema anaamini vipigo walivyovipata kutoka kwa Brighton na Tottenham, vitakuwa vimemzindua Kocha huyo na ndiyo chachu ya kutwaa ubingwa.

“Naamini vipigo ilivyovipata United katika mechi za mwanzoni vya 3-2 kutoka kwa Brighton na 3-0 kutoka kwa Tottenham, vimeizindua timu na itakuwa siri ya ubingwa,” alisema Schmeichel.
 
Alisema yeye anatofautiana na mashabiki wengi wa United ambao wengi hawana matumaini ya ubingwa, kutokana na mwanzo mbaya lakini anadhani muhimu ni Mourinho kupewa muda na kuungwa mkono na mashabiki na bodi ili aipe ubingwa.

Alisema anamuamini na kumkubali Mourinho kwa kuwa katika timu zote alizozifundisha alizipa ubingwa baada ya kutumia muda mfupi kujenga vikosi vya ubingwa.
 
✔✔
 
anayepswa kujituma kwanza ni yeye, anapoteza nafasi kama mwehu.
 
*Mwanamke mwenye makelele mimi SIOI*

Hii kauli imeandikwa na mwanaume mahali fulani na watu wakakomenti sana, idadi ya wanaume kukubaliana na aliyeandika hiyo kauli ilikuwa kubwa.
Najaribu kuitafakari kidogo na kujiuliza[emoji848]

Makelele ya mwanamke ni nini?
Ni yapi?
Wanayajuaje kama haya ni makelele?


Mithali 25:24

"Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi" (Makelele).




@Mohabbat par itna yaqeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…