Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zaidi ya Wanafunzi laki tisa na 60 elfu wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu darasa la saba kesho Septemba 5, huku idadi ya maswali ikipunguzwa kutoka 50 mpaka 45 kati yake matano yakiwa ya kujieleza.

@Mohabbat par itna yaqeen
 
FB_IMG_1536036088492.jpg
 
Wanaowania tuzo hizo

Mchezaji bora kwa wanaume: Cristiano Ronaldo, Luka Modric, Mo Salah

Tuzo ya Wanawake- Ada Hegeberg, Dzsenifer Maroszan, Marta

Tuzo ya Shabiki bora wa FIFA- Sebastian Carrera, mashabiki wa Japan na Senegal, Peru.

Kocha bora wanawake - Reynald Pedros, Asako Takakura, Sarina Wiegman

Kocha bora wanaume- Zlatko Dalic, Zinedine Zidane, Didier Deschamps

Tuzo ya Puskas - Gareth Bale, Denis Cheryshev, Lazaros Christodoulopoulos, Cristiano Ronaldo, Giorgian De Arrascaeta, Riley McGree, Lionel Messi, Benjamin Pavard, Ricardo Quaresma, Mo Salah

Bila zengwe wala nini tuzo ya mwaka huu ni Luka Modric
 
Back
Top Bottom