Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahahahaha! Jamaniiiiii
Hivi yule mheshimiwa aliishia wapi?"Huwezi ukaambiwa uoneshe vyeti halaafu unalia ovyo kwa wachungaji.., mwanaume halii hovyo. Kwani umeambiwa kazi ni ukuu wa mkoa tu???"
hashim rungwe