Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180903-WA0010.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepigana dhidi ya mfumo wa utawala unaowapendelea makaburu, na nimepigana dhidi ya mfumo wa utawala unaowapendela weusi.
Nimekuwa na ndoto ya jamii ya kidemokrasia na huru ambayo watu wote wanaishi pamoja kwa mshikamano na fursa sawa. Ni ndoto ambayo nataraji kuiishi na kuitimiza. Lakini, kama itahitajika, hiyo ni ndoto ambayo nimejiandaa kupoteza maisha yangu kwa ajili yake.
Nice utopian dream...

Huyu ni Mandela ama?
 
Kaka wa Michael Jackson, amchumbia binti wa miaka 23.

Kaka wa marehemu Michael Jackson anayejulikana kwa jina la Jermaine Jackson mwenye umri wa miaka 63 ametangaza nia ya kufunga ndoa na binti mwenye umri wa miaka 23 Maday Velazquez.

Wawili hao walikutana kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya kundi la “The Jackson 5” mjini Malloca nchini Hispania mwanzoni mwa mwaka huu 2018, Jermain Jackson ametangaza nia hiyo kupitia chombo cha habari cha “De Telegraaf” kilichopo Uholanzi na kusema “Tutaoana hivi karibuni”.

Jermaine Jackson aliachana rasmi na mkewe Halima Rashid mwaka 2016 na hii itakuwa ni ndoa yake ya nne huku katika ndoa hizo amebahatika kupata watoto 9.






@Mohabbat par itna yaqeen
 
Back
Top Bottom