Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
*Nakumbuka mtihani wa la saba unaanzaga kama masihara hivi!*
*19+87=*
*219-45=*
*12×34=*
*59÷7=*
°°°°
*Afu huko mbele sasa kuanzia swali la sita saba hivi, Utajuta:*
*Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda chato.Land cruiser VX linatoka chato saa nne kwenda Dar.*
*Ikiwa spidi ya ndege ni 350 km/saa na ya Land cruiser VX ni km 220/saa, na Umbali wa chato -Dar ni km 900, Zitakutana saa ngapi?*
*Sa mi ntajuaje?!*🤷🏽♂🤷🏽♂🤷🏽♂
*Na hizi tochi zote Barabarani, na Matuta, Kuchimba dawa, kunywa chai !!!!*
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1552]♂