Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mbona katoto hako?MtaliiView attachment 857025 akifanya mikakati ya kuopoa mrembo wa kihazabe kaskazini mwa Tanzania
Watakuja kuwaharibu sasa hivi. Mara kompyuta. Mara visima vya maji. Mara umeme. Utafikiri kweli wanahitaji vitu hivyo...Utalii kujionea kabila linaloishi kwenye kuhifadhi mira desturi zaoView attachment 857016
Mithali 13:2-3
Mtu atakula mema kwa matunda ya kinywa chake;
Bali nafsi ya mtu haini itakula jeuri.
Yeye alindaye kinywa chake huilinda nafsi yake;
Bali afunuaye midomo yake atapata uharibifu.
@Mohabbat par itna yaqeen