Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mungu anaweza kufanya zaidi ya hapo unapoona.

Mungu anaweza kukuinua na kukupandisha zaidi ya hapo unapoona.

Mungu anaweza kukutumia na kukufanya kuwa MTU wa level nyingine ya juu sana kuliko unavyoona.

Kuna mambo mengi makubwa Mungu anakwenda kuyafanya kwako na atayafanya kwako.

Mungu hazuiliwi na mazingira katika kukufanya wewe utimize kusudi lako.

Mungu hazuiliwi na jamii yako, marafiki zako ,dini yako ,wazazi wako au mwenzi wako katika kukufanya wewe utimize kusudi lako.

Kumbuka unaishi kwa kusudi maalumu na anayejua mwisho wako ni Mungu pekee.

Mungu aliyekufanya wewe kuwa kama ulivyo, aliyekuumba wewe kwa mfano wake, anao mpango madhubuti kwa ajili ya hatma yako.

Kuna mambo mengi tu yamepita na yametokea kwenye maisha yako ambayo hukujua majibu na njia zake lakini ulijikuta upo salama.

Ni ajali nyingi tuu umepata ukiwa na wenzako lakini bado wewe ulibaki salama.

Ni mambo mengi tu Mungu amekuvusha na mengine hujawahi hata kuyasema kwa mtu kwa sababu huna namna ya kuyaweka vizuri.

Aliyekuumba anaweza kubadilisha historia ya maisha yako
Anaweza kukufanya upya
Anaweza kukuinua tena
Anaweza kukupa maisha mapya
Anaweza kuwashangaza wanadamu

Yeye ni Mungu wa haki na ni mkuu sana.

Endelea kumuamini tu
Endelea kumpenda tu
Endelea kumtumikia tu

Anaujua mwanzo wako, anajua kwa nini amekuumba, anajua kila hatua unazozipitia
Anajua kila jambo utakalopitia.

Usikate tamaa
Usiangalie bahari iliyopo mbele yako
Usiangalie simba wanaokukimbiza nyuma yako
Usiangalie mlima uliopo pande zako.

Mtangulize Mungu nae atakushangaza!!!!!!

Usipoteze muda kwa mambo yanayokuumiza na kukurudisha nyuma.
Songa mbele.

MWENYE HATMA YAKO ATAIKAMILISHA.

Mmebarikiwa.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

@Mohabbat par itna yaqeen
 
FB_IMG_1536086111990.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AMEN [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom