Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Marahabaaa poti
Asante kwa kuniongezea maarifaNaamini hutopuuzia tena swala la kupumzika kwani umeona jinsi lilivyo na umuhimu mkubwa. Kumbuka kuwa ili uwe na ufanisi mzuri katika kazi au kile unachokifanya unahitaji kuhakikisha mwili na akili yako viko katika hali nzuri. Je wewe huwa unapumzika? Acha kuchakaza mwili wako sasa; tenga muda wa kutosha wa kupumzika.
U tooView attachment 857351
[emoji1][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]