Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
ukioa mwanamke bora utaifaidi ndoa yako ila kama utamuoa mwanamke mwenye tabia mbaya itakuwa umemuoa mwanafilosofia.
ukioa mwanamke bora utaifaidi ndoa yako ila kama utamuoa mwanamke mwenye tabia mbaya itakuwa umemuoa mwanafilosofia.
Failure of leadership and humanity in general...Sad [emoji24][emoji24][emoji24]
Humanity @ work
Aisee!!
kweli..Napenda kuwaambia wale wanaodhani siasa haiwahusu, Moja ya madhara ya kukataa kujihusisha na siasa ni kwamba utaongozwa na watu uliowazidi akili. Na kwa upungufu wao wa akili watafanya maamuzi ya kila kitu kinachohusu maisha yako - Plato