Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jack-and-Kate-GIFs-lost-23368505-500-237.gif
 
  1. hii dunia ni ya ajabu sana unakuta mtu anamchukia mwenzake kisa anatembelea thread hii.
  2. inaonekana kuna watu hawafahumu dhamira kuu ya kuanzishwa jukwaa la chitchat
  3. kuna watu ni wagumu mpaka kutoa likes ambazo hazitupi utajiri wowote kwenye maisha yetu.
  4. hivi kwani hii thread imeanzishwa jukwaa la great thinker?
dah unakuwa mbishi kwenye kutoa likes lakini unakuwa na furaha kwenye kungoa jino.
 
Back
Top Bottom