kila jambo na wakati
Aseee, consuela unanitisha*BREAKING NEWS*
-Hatimaye Makonda kujiuzuru. Muda mfupi uliopita jiji la Dar es salam limetikisika baada ya Makonda watatu wa kampuni ya mabasi ya LETE RAHA kujiuzuru na kusababisha usumbufu kwa abiria.
-Hata hivyo abiria wamemuamuru dereva kupeleka basi hizo ktk kituo cha polisi cha central kwani wanadai chenchi kwa Makonda hao
Hongera bwa mdogoDuu watu humu ndani wagumu kweli. Hata kunipa hongera ya kumaliza mtihani. Au wivu kisa Babe S
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Aseee, consuela unanitisha