Noma sana[emoji3] [emoji3] [emoji3]TUMEPOA
Safi sana, watu wanalia lia kama wamerogwa bhana.Dume zima linaomba omba huruma EboUkizaliwa mwanaume hutakiwi kutiatia huruma,hakuna mtu wa kukuonea huruma, pambana. Wanawake pekee ndo watu wanatakiwa kutia huruma coz wameumbwa ivo.
Mwanasiasa wa Kirumi Gaius gracchus, kichwa chake kilihitajika kwa malipo ya dhahabu sawa na uzito wake. Hivyo atakayemuua na kupeleka kichwa chake angepewa dhahabu sawa na uzito wa kichwa hicho. Hata hivyo dhahabu hii haikulipwa kwa mtekaji kwa sababu alikijaza kichwa hicho madini ya risasi ili kiwe kizito zaidi.