Mchungaji kaona simu yangu niliyonunua laki 5, akasogea & kuniuliza kwa upole nimenunua bei gani, kwakuwa natoaga sadaka kidogo nikamjibu nimenunua elfu 50. Akanipa laki 1, nikanunue 2, yake & ya mke wake. Sasa ndio namuuliza Mungu kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji!