Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karibu mkuu, siku mbili tatu ulipotea, kwakweli tulipata wakati mgumu sana, maana kupotea kwako kuliambatana na kupotea kwa wanachama wengine waandamizi wawili.
Asante kamanda. Kila mtu ana maisha yake na hao waandamizi unaowaongelea bila shaka watarudi kwa wakati wao wakishamaliza kupambana na hali zao zilizowafanya wapotee hapa...
 
Did i just read somewhere kwamba wabunge wanawake hawaruhusiwi kubandika kucha wala kope?? Kwa hiyo watakua wanakaguliwa au?? Where are we heading??! Tuna matatizo/changamoto nyingi kama nchi for us to be worried with personal issues like these.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…