Wabunge wanawake wenyewe wanasemaje? [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️Did i just read somewhere kwamba wabunge wanawake hawaruhusiwi kubandika kucha wala kope?? Kwa hiyo watakua wanakaguliwa au?? Where are we heading??! Tuna matatizo/changamoto nyingi kama nchi for us to be worried with personal issues like these.
We uko wap hapa?
safi kabisa..