ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
ISIS
Mweh mweh, kwamba kapata mwingine au? Loh! Mbona ntarudi kwa andjul sasa. Angalau kule kuna tu milioni tuchenchi twa mboga hatupigi chenga.Kichwa kichafu sidhani kama yupo karibu,
Asubuhi aliniomba nimsaidie kutafuta karanga mbichi na kwa bahati nzuri tulipata wingu aliokuwa anahitaji yaani bakuli mbili kubwa.
Baada ya hapo nimempigia hapatikani
Nipo bwana shemejiNsamaka
AMUN RA