Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Selous game reserve ndiyo mbuga pekee Tanzania yenye Wanyama wengi waliomo ndani ya maji (maji baridi)
FB_IMG_1536666804306.jpg
FB_IMG_1536666456880.jpg
FB_IMG_1536666364443.jpg
FB_IMG_1536666342137.jpg
 
Kama upo jiji la Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma au Iringa, na una nia ya kutembelea mbuga moja wapo hapa Tanzania, nakushauri tembelea Selous kupitia lango la Matambwe Morogoro, Kingupira au Mloka mkoani Pwani. Utafuria kila aina ya kivutio ndani Selous
FB_IMG_1536666932554.jpg
FB_IMG_1536666959637.jpg
 
Back
Top Bottom