Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

37885607_627652180954032_4674854249933307904_n.jpg
 
Soma Hii Kama Una Muda
**********************************

Leo nilikuwa nafatilia moja ya kituo cha television huko marekani. Tajiri nambari moja duniani Bilionea Bill Gates aliulizwa na mwandishi mmoja wa habari kuwa anajisikiaje kuwa tajiri mkubwa zaidi duniani. Akajibu kuwa hadhani kama yeye ni tajiri namba moja. Akaulizwa anadhani kuna mtu anamzidi? Akajibu "Nadhani yupo mmoja" Akaulizwa ni nani?

Akasema "Nilipokuwa shuleni sikuwa na fedha. Kuna wakati nilienda kwenye "vijiwe" vya kuuza magazeti ili nisome tu japo vichwa vya habari. Kijana mmoja mweusi (black American) ambaye alikua ombaomba eneo lile aliniona Alijua nilihitaji gazeti lakini sikuwa na uwezo wa kununua. Akatoa kiasi cha pesa katika zile alizokuwa akiombaomba akaninunulia gazeti. Nilijaribu kukataa kwa sababu nilijua anaweza kulala njaa kwa sababu yangu, lakini alinisihi nichukue...

...Siku nyingine tena nilienda kijiwe kile na sikuwa na fedha. Sikutaka mtu yule anione. Hivyo nikapitia vichwa vya habari kimyakimya, na wakati naondoka nikaletewa gazeti, nimelipiwa na yule ombaomba. Akanitizama, akafurahi. Nikamtazama. Nikalia. Nikaondoka"

Mwandishi akamuuliza sasa huyo awezaye kuwa tajiri kuliko wewe wakati umesema ni ombaomba? Bill Gates akasema "mtu yule alitoa hata kile kidogo alichokuwa nacho ili kunisaidia. Hakujali kuwa anaweza kulala njaa, kukosa malazi, kukosa mavazi, hakujali kupoteza akiba yake yote ndogo aliyokuwa nayo ili kunisaidia. Nadhani mtu yule ni tajiri kuliko mimi."

Mwandishi akamuuliza, kwanini usimtafute umlipe? Bill akajibu. Nimeshamtafuta, nimemnunulia nyumba, na kumpa dola milioni moja (kama bilioni mbili za kibongo), lakini sijaweza kulipa hata robo ya alichonipa. Mwandishi akamuuliza kwanini? Bill akajibu "kwa sababu mimi nimetoa sehemu ndogo katika kikubwa nilichonacho, lakini yeye alitoa sehemu yote katika kidogo alichokuwa nacho. Nadhani mtu yule ni tajiri kuliko mimi"

Umejifunza nini? Mimi nimejifunza wema wa mtu haulipwi.
 
Safi sana, yasemwa kuwa wema hauozi. Umenikumbusha kisa cha mfalme na waganga wa jadi.
 
Wema na ukarimu... Kweli wema ni utajiri
 
Back
Top Bottom