Njema pre form one.Habari wandugu
Nawasalimu
Nawasalimu
Pesa pesa pesa kila kitu ni pesa, pesa ndo ilitoa uhai wa yesu.[emoji16][emoji16][emoji16] ndio hivyo pesa ina umuhimu wake
Aisee pole.. kwangu sina tatizo hiloHii App ya JF vipi tena? Imenibadilikia ghafla. Ukibofya kwenye comment ya mtu aliyekukwoti ili urudi ukaangalie ulichosema haitaki. Kuweka picha hivi hivi napo tatizo mpaka uandike angalau kaneno kamoja. Ni mimi peke yangu au na nyie mna ishu hizi? Hovyo kabisa !!!
Siyo wewe kwelπ
πππππila wewe Ujue Mungu anakuona aiseeππππ
Amefanya jambo zuri sana, nitakuwa mshabiki wa timu hiyo hukoTunafurahi, hatimaye tumekamilisha usajili wa klabu yetu, ambayo ilipata usajili rasmi Januari mwaka huu na yalibakia mambo madogo kukamilisha na sasa kila kitu kipo tayari kwa kifupi itaitwa Inter Miami CF, tunaomba sapoti kutoka kwa mashabiki,β alisema Beckham.
Kiungo huyo wa zamani wa Manchester United, Real Madrid, Paris St-Germain na AC Milan na nahodha wa zamani wa England, ndiye mmiliki na Rais wa klabu hiyo ambaye amechagua nembo yenye rangi ya pinki, nyeusi na nyeupe ikiwa na picha ya ndege wawili, jua na miale saba.