Kwa leo mi naona iko poa,labda kwakoHii App ya JF vipi tena? Imenibadilikia ghafla. Ukibofya kwenye comment ya mtu aliyekukwoti ili urudi ukaangalie ulichosema haitaki. Kuweka picha hivi hivi napo tatizo mpaka uandike angalau kaneno kamoja. Ni mimi peke yangu au na nyie mna ishu hizi? Hovyo kabisa !!!
Pesa ndiyo makazi ya shetani, waogope wanaoendekeza pesaPesa pesa pesa kila kitu ni pesa, pesa ndo ilitoa uhai wa yesu.
Na nyie siku iz madada hamtoi bila pesa.Na wewe uko hivyo ama!! [emoji32]
Money.... very interesting😡😡Pesa ndiyo makazi ya shetani, waogope wanaoendekeza pesa
Jamaa kapiga shumizi, aka night dress[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
u made mah day😀
Hiki iko wap mkuu
Huyu jamaa ni hatar ukiingia kwenye 18 zake akuachi
Selous game reserve Matambwe Kisaki, MorogoroHiki iko wap mkuu