andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
1990's asu by Abdul MisambanoMwimbo wa mwaka gani?
1990's asu by Abdul MisambanoMwimbo wa mwaka gani?
Jana alisema kafa na kuoza kwa sammy au hukuwepo mida ile?Wewe ndio kisababishi unajua kabisa kichwa kichafu amekufa ameoza kwako
Jaman jaman me ndo nimeacha[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio yangu mkuu, carba-ma-zepine kapigwa chini ndio namuimbia kumfariji
Kwamba atakuwa???Kichwa kichafu sidhani kama yupo karibu,
Asubuhi aliniomba nimsaidie kutafuta karanga mbichi na kwa bahati nzuri tulipata wingu aliokuwa anahitaji yaani bakuli mbili kubwa.
Baada ya hapo nimempigia hapatikani
Karibu ho chi minh
Nakuona unayajenga[emoji23] [emoji23]Sawa