myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KWELI....Beki Jerome Boateng, 30, amemwambia Jose Mourinho kuwa amekataa ofa ya kujiunga na Mashetani Wekundu kwa sababu haoni kuwa kuhamia Manchester United akitokea Bayern Munich kama kupiga hatua ya maendeleo. (Mirror)