myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KWELI....Beki Jerome Boateng, 30, amemwambia Jose Mourinho kuwa amekataa ofa ya kujiunga na Mashetani Wekundu kwa sababu haoni kuwa kuhamia Manchester United akitokea Bayern Munich kama kupiga hatua ya maendeleo. (Mirror)
Habari yako chiuNa kwako pia
HujamboAbee
Amin, habari za siku BeefAsubuh njema wana jf wote mlioamka salama muda huu na wengine mlioko kwenye shughuli zenu mungu aibariki kazi ya mikono yetu.... in god we trust...
UtayapataNapendaga malikes nimeamkia malikes
Zimeota mbaya, na mchanga watu walishajengea nyumba[emoji3] [emoji3] [emoji3]Serikali Noah zetu bado tu.