myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Umoja wetu udumu
Ndani hapa karibu na vifaa vya bendi
Ha haaaa..nikiwa mm dj watu watakimbia..utakuwa dj wewe
Nmevaa shati la draft mkuu.. Ww umevaajeMkuu toa maelekezo vizuri upo upande gani apa Calabash na umevaa nguo gani....toa ushirikiano tafadhari.
Unazingua wwMimi nimevaa Kaunda suti ya kijivu...ngoja tuanze kukutafuta,umesema shati la draft?
Bado haijaanza.. Nahs baadae itakuwepoAisee bado kuna live band hapo??
Hakuna mkuu.. Kusocialize tuVikao vya harusi au?
Dah...nimetoka sasa hivi hapo...nilikuwa nauza mapanga....nirudi nikuuzie moja mkuu?[emoji41]Wazeeyaaaa... Tuonane tugonge glass mbili tatu
Vya kunywa sodaVikao vya harusi au?
Nmescan hakuna mtu mwenye kaunda hapaMimi nimevaa Kaunda suti ya kijivu...ngoja tuanze kukutafuta,umesema shati la draft?
Ha haaa..Dah...nimetoka sasa hivi hapo...nilikuwa nauza mapanga....nirudi nikuuzie moja mkuu?[emoji41]