Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Nini sababu ya kuwa ktk hali hiyo?Nilijua tu utasema hivyo
Mzee wa liver mpinzani wa kweliKing Crazy GK
Anaanza kujisogeza kwangu taratibu.Nini sababu ya kuwa ktk hali hiyo?
Aaalaah!Anaanza kujisogeza kwangu taratibu.
Hahahha huyu alikuwaga wangu ila tulitlikiana kutokana na tabia zake.Aaalaah!
Kumbe ulifuatilia ukamgundua sio eeeh?
Kijana khatari sana huyo,
Piga chini kabisa,
Nimefurahi teh teh teh.
[emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253][emoji23] [emoji23]
OuId yako imenikumbusha kitu,acha nikitafute
How sweet of u[emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253]
Karibu mkuu, nilivutiwa sana na zile nyimbo ulizo kuwa una post,ikanibidi nizikusanye audio kwa ajili ya matumizi ya baadae