Eminem jr
JF-Expert Member
- May 21, 2018
- 2,006
- 4,617
Pale panaitwa Matema au C-Park.Nitakuja tu aiseee majuzi nilikuja Kinondoni B pale Kwa Pembeni kuna bar moja wanapiga Bendi weekend sijui inaitwaje ile Bar
Asante sanaMuwe na siku njema
Okey poa tutaonana tuPale panaitwa Matema au C-Park.
Jumamosi hiyo nilikuwa palepale.
Sema sababu ya watu kuwa wengi inakuwa ngumu kuonana.
Poa mkuu.Okey poa tutaonana tu
MINI NINA PESA NYINGI SANA WALAHIPesa bwana.........View attachment 868595