17.Kujifunza Kuhusu Pesa Ni Rahisi . Lakini Kuelewa Hisia Zetu Ni Taabu Sana.
Thamani ya mtu,Tabia ya mtu na mtindo wa maisha ya mtu hata hivyo ni mtihani tu. KItu cha thamani kubwa ni Uelewa wa mtu. Pesa ni kwa ajili ya Ulinzi wa mtu kwa akili ya kibinadamu sio ya Mungu. Kwangu mimi naona kama mtu angeona maisha kwa uelewa kwamba anaishi vizuri akiwa na amani, upendo, na ana chakula na mavazi , kitu ambacho hawezi kukosa, akiangalia kuna wengine hawana afya kama ya kwake, hawana macho, miguu, mikono , wengine aliokuwa nao hawapo tena, Huko ni kuelewa.