Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

If a girl dumps you because you don't have money and after you have made money... She comes back begging.My brother, Forgive her... Promise her marriage... Tell her family that you want to renovate their house. Remove their roof and DISAPPEAR
...they usually come crawling back after being dumped....
IMG_20180917_064642_155.jpeg
IMG_20180917_064933_803.jpeg
 
VISABABISHI VYA KUWA NA WEUSI KATIKA SEHEMU ZA MAPAJA ,KWAPA NA SEHEMU ZINGINE.
Msuguano kati ya sehemu mbili kwa muda mrefu.
Hii ni hali ambayo inawatokea sana watu ambao unakuta viungo vyao vimekaribiana sana hasa mapaja na husuguana na wengine hupelekea kupata maumivu makali sana na kuwapelekea kutumia nguo ndefu za ndani kupunguza msuguano huo.
 
kuwa na weusi kwenye mapaja na sehemu zingine za mwili ni hali inayoathiri kisaikologia na kuleta msongo wa mawazo kwani hali hio inakunyima uhuru wa mavazi na kujiachia unapokuwa na mwenza wako. Ndio maaana wanawake wengi wamekuwa wakijaribu njia nyingi sana bila mafanikio hasa unapofikia hadi kutumia kemikali kali ambazo zinakuongezea tatizo kuwa sugu zaidi.
Basi usiwaze na huna haja ya kukosa uhuru tena katika maisha yako kwa tatizo hili ambalo unaweza kulitatua ukiwa nyumbani kwako bila kutumia vipodozi na dawa zenye kemikali.

Kabla ya yote tuangalie visababishi vya tatizo hili kuanzia vitu vidogo vidogo hadi vitu vikubwa.
 
VISABABISHI VYA KUWA NA WEUSI KATIKA SEHEMU ZA MAPAJA ,KWAPA NA SEHEMU ZINGINE.
Msuguano kati ya sehemu mbili kwa muda mrefu.
Hii ni hali ambayo inawatokea sana watu ambao unakuta viungo vyao vimekaribiana sana hasa mapaja na husuguana na wengine hupelekea kupata maumivu makali sana na kuwapelekea kutumia nguo ndefu za ndani kupunguza msuguano huo.
 
Unene kupita kiasi
Pia hii ni hali ambayo huwatokea watu wa namna hii baadhi, kwa sababu ya uzito kuongezeka bila sababu na kupelekea sehemu hizo kuwa na msuguano mkali sana.
 
Matumizi mabaya ya deodorant spray: Watu wengi wanaotumia deodorant spray hasa zenye aluminium salt zinaziba vitundo vya ngozi ambavyo hutoa uchafu na jasho na hatimaye ngozi yako kutopumua vizuri na hatimaye kuidhuru ngozi yako. Weusi wa namna hii unapatikana sana katika kwapa kutokana na watu wengi kujipulizia spray ili kukata harufu ya jasho.
 
Matumizi ya vipodozi vikali.

Watu wamekuwa wakisumbuka kwa hali na mali kuondoa weusi kwenye kwapa na wamekuwa wakijitahidi kwa namna yoyote kuondoa adha hii lakini sasa matumizi ya vipodozi vikali vinaweza kuharibu sana na kuongeza tatizo kwa kuangamiza [melanocytes] ambazo ndizo seli zinazotengeneza melanin kiini kinachoipa ngozi rangi yake kiuhalisia na kinachozuia athari za miale mikali ya jua.
 
Vichocheo kuvurugika
Watu wengi wenye vichocheo vilivyo vurugika/hormonal imbalance unaweza ukawatambua kwa dalili hii ya weusi kwenye kwapa. Na wengi wapo katika kundi hili, unakuta ana ndevu,kwapa nyeusi na mapaja meusi na hadi kupelekea shingo nyeusi sana, pia kwa wanawake wenye mvurugiko wa homoni wengi ni wagumba na pia wana tatizo la uvimbe kwenye mayai(ovarian cyst). Kumbuka homoni imbalance inatokea kwa wote mwanaume hata mwanamke. Hivyo ukitaka kushinda tatizo hili hakikisha unarekebisha vichocheo vyako kwanza.
 
Ugonjwa wa polycystic ovarian syndrome [PCOS]
Huu ni ugonjwa unaoathiri ovary za mwanamke. Utakutana na mwanamke analalamika mzunguko mbovu, maumivu makali wakati wa hedhi na wengine watakwambia kuwa anajaribu kutafuta mtoto bila mafanikio.
Wagonjwa wengi wenye PCOS ni wahanga wa tatizo hili, hivyo wagonjwa wa namna hii wanapofika ofsini kwanza tunawapatia virutubisho ana mbili kwa ajili ya kubalance homoni zao na ushauri namna ya kupangilia lishe.
 
Back
Top Bottom