Twashukuru hawajamboNjema kabisa mkuu, familia inaendeleaje?
Kwema profesaSafi mkuu, kwema huko?
Safi mkuu za kwakonawasalimu mabibi na mabwana
Heshima hio kuwa mzee tena kama huyu mzee smart kama huyuNikiwaona huwa naumia sana... Uzee nao ndo unazidi kuniandama. Wale wenzio ndo kabisaaa wananizeesha, kila wakiniona "shikamoo baba" aaarg[emoji36] [emoji36] [emoji36]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Kwema profesa
Ni kipara kilichoiva kabisa
Hasa ukiwa na afya njemaMaisha matamu sana
Miaka 34 ndo kamaliza mtihani std VII[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hatari sanaKuna kiuno ninachokiita cha kitandani ambacho bibie anakatika; anageuka anainama chini anafanya kama anakuna , kama anapekua shuka. Kiuno njoo, kiuno chukua, chuma mboga.