Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haugawi like kama siku za nyuma, nikizoe kukuona kila ninapochungulia likes za watu
Unachungulia likes za watu ili iweje? Huo umbea sasa [emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi nagawa likes kwa watu wote bila kubagua. Mzee wa data tena nisigawe likes why?. Inavyoonekana kidogo unajaribu kunifuatilia fuatilia. Let's just enjoy this game without the name calling na kufuatiliana fuatiliana. Likes to everyone please!
 
Ukiangalia vizuri siku-dis. I am trying to stir the fire under your belly mpaka Mzee wa Ini akikuona atoke nduki![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unawaaminisha watu mi natumia parables
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…