Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Sio kweli mi na ww ndugu bhana bichwa ChafU....Adui yangu kwema
Sio kweli mi na ww ndugu bhana bichwa ChafU....Adui yangu kwema
mzee wa liver nimerudi kamandaKaribu sana kichwa kichafu bado anakula au kalala
Enzi za Magufuli hizi ambapo hakuna pesa za ufisadi heshima ya laki imerudi tena kwa kasi!Laki si pesa
KwemaKwema wanajamvi wakati huu?
Kula likes mkuu bado tuNimechelewa sana kufika hapa kwenye thread hii
YupEnzi za Magufuli hizi ambapo hakuna pesa za ufisadi heshima ya laki imerudi tena kwa kasi!
Sema mzee wa Ini anatumia kikosi cha 2005 kileNjia nimekuonyesha. Ifuate!
Una shida gani dada? Ndoa yako na Kichwa Kichafu haikudumu hata kwa siku moja? What happened?Shimba ya buyenze nzogo kaka onishauri.
KaribuHodi humu ndani
Mi nimerudi tu mkuu hataki kutana na mimi si unajua ukipenda mtu inabidi kukubali tu nini anapenda ila unaruhusu kwenda ili awe happy.Umerudi naona carbamazepine karudi nawe umerudi
Nipo kaka na nafurahia ndoa yangu ila huyu andjul ndio msumbufu.Una shida gani dada? Ndoa yako na Kichwa Kichafu haikudumu hata kwa siku moja? What happened?
HahahagaHujachelewa jaza bando ukeshe kama cocochnel
HahahahaUna shida gani dada? Ndoa yako na Kichwa Kichafu haikudumu hata kwa siku moja? What happened?
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuachwa kuachwa,kuachwa ni shughuli pevu, mbaya zaidi, kwa yule uliye mpenda, wewe unakonda ,yeye ananenepa....kwa mawazooo..... lala.. lalala aaa