carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Umefurahishwa na nini?Ninavyo jichekesha mwenyewe hapa mpaka wananishangaa
Umefurahishwa na nini?Ninavyo jichekesha mwenyewe hapa mpaka wananishangaa
IndeedPanda mti kata mti
Mkuu naona unanikumbusha mbaliUna shida gani dada? Ndoa yako na Kichwa Kichafu haikudumu hata kwa siku moja? What happened?
Pamoja kiongoziTugawane likes wakuu, mimi hizo hapo nimeanza kuwapa.
Asante mkuu ila punguza makali kwa Cole please. Mlegezee legezee kidogo ili naye apumue ...SHIMBA karibu sana
Mkuu now nimebadilikaLeo niko bize mbaya Nipo nashtukiza shtukiza. Asante kwa kunikumbuka bro. Kuna ubuyu mpya? Kichwa Kichafu hajabadili mke? Wewe je? Umepata mwingine au umerudi kwa Nsamaka?
Nipo baby. Nilikuwa bize leo kutubu madhambi kanisani lakini nipo. Hakuna mtu aliyekusumbua hapa wakati sipo?shimba ya buyenze mambo
Upo!Tutunze misitu yetu