ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 5,059
- 15,862
Tunamalizia weekend kwa like
Kwema mkuuMkuu kwema
Kwema mkuu?Sasa sijui nianzie wapi kutoa likes.
Anyway, nitakuwa nagonga mbele halafu narudi nyuma...mpaka vidole vitakapogoma.
I hope kila mtu amekuwa na siku njema.
Tumshukuru Mungu!
Nimebadilika dunia ni shule nimejifunzaUpo Carba? (Is it OK if I call you Carba). Usia gani tena? Mzee wa data nimesahau? Au ni jinsi ulivyo calm, collected and intelligent halafu ukaishia kwa mpenda totoz Kichwa Kichafu?
Kwhy kaka unashauri nirudi kwa andjul?Unafurahia ndoa na mume yupi? Jana huyo mumeo si alikuwa na rundo la pete anapeleka kwa mke mwingine? Au upo kwenye mitala?
Andjul hana shida. Amegeukia nyimbo za injili na atakuwa OK...
Matokeo vipi?Nipo napiga maji ya kunywa hapa baada ya tz kumfunga south dadeki hii team raha sana japokuwa mpira hatujaonyesha Ila ushindi wetu
Nakutakia maisha mema ndugu yanguKuanzia asubuhi kila nikikuona nafurahi yaan baada ya kuyajenga na ww nyota inawaka
Nashukuru sana ndugu yangu baraka zako zimepokelewaNakutakia maisha mema ndugu yangu
Mission imposibleMission Accomplished
Tz kashinda moja bila tumetinga nusu fainali mkuuMatokeo vipi?
Karibu mkuuNimewamiss sana