ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Habari rafiki kichwa kichafu?
Kwa moyo mkunjufu kabisa mkuu sina neno.Kweli aisee ila yule niachie I just want to make it up kwake
Ndio mkuuTunamalizia weekend kwa like
Mzee wa kuparamia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa yamenipiga acheni nielewe.
Kula likes kwa kuimba imba kama Cole Williams
Ndio nimekuja mida midaKwema mkuu
nakuona unakimbiza kama kawa
HaswaaTanzania ni yetu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahahaha
HahahahahahNipo napiga maji ya kunywa hapa baada ya tz kumfunga south dadeki hii team raha sana japokuwa mpira hatujaonyesha Ila ushindi wetu
Poa poa mkuuNdio nimekuja mida mida
Pqmoja katika ujenzi wa taifaNashukuru sana ndugu yangu baraka zako zimepokelewa