Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Cole Williams
Rafiki yangu ni njema kabisa nimerudi kwenye ukapela tuendelee chama letu ila nilikuangusha sana samahani mkuuHabari rafiki kichwa kichafu?
Its ok usijal just call me carba,mzee wa data unasahau vipi tena?Upo Carba? (Is it OK if I call you Carba). Usia gani tena? Mzee wa data nimesahau? Au ni jinsi ulivyo calm, collected and intelligent halafu ukaishia kwa mpenda totoz Kichwa Kichafu?
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kuanzia asubuhi kila nikikuona nafurahi yaan baada ya kuyajenga na ww nyota inawaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee wa kuparamia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata nsamaka humtaki tena?Mkuu sasa nipo tu
Haya sasa....Umefurahishwa na nini?
Rafiki urafiki wetu urudi tu kama mwanzo haya mengine tuwaache.Shemeji alikuwa anakuulizia sana leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Rafiki yangu ni njema kabisa nimerudi kwenye ukapela tuendelee chama letu ila nilikuangusha sana samahani mkuu
[emoji125] [emoji125]Haya sasa....
Ndio nimerudi sijui nilipotea wapiUlikiwa wapi?
Tayari.....Nipo baby. Nilikuwa bize leo kutubu madhambi kanisani lakini nipo. Hakuna mtu aliyekusumbua hapa wakati sipo?
Ukapela tena?nsamaka je?au andjul kashamrudia?Rafiki yangu ni njema kabisa nimerudi kwenye ukapela tuendelee chama letu ila nilikuangusha sana samahani mkuu
Wataje wAjijue ita wasaidia mkuuHuu uzi kuna watu wakarimu sana, sio wachoyo kutoa likes
[emoji102]Hahahahahah
Kwema mkuu, habari ya weekend?Wazima
Toa likes Pata likesSpeed hiyo
Upo shogare za tangu asubuhiIts ok usijal just call me carba,mzee wa data unasahau vipi tena?