That's my broNipo baby. Nilikuwa bize leo kutubu madhambi kanisani lakini nipo. Hakuna mtu aliyekusumbua hapa wakati sipo?
Upo Carba? (Is it OK if I call you Carba). Usia gani tena? Mzee wa data nimesahau? Au ni jinsi ulivyo calm, collected and intelligent halafu ukaishia kwa mpenda totoz Kichwa Kichafu?Eeeh?SHIMBA YA BUYENZE alinipa usia jana ai uliuona?
Hakuna neno mkuu kiroho safi kabisa nduguHakuna vina huyu niachie cheki kwngne tu
Mkuu kwemaWazee wa likes
Kuanzia asubuhi kila nikikuona nafurahi yaan baada ya kuyajenga na ww nyota inawakaUmefurahishwa na nini?
Sema mkuu. Siko up to date sana data zinanipita. Nikukabidhi hicho cheo?Mzee wa data Shimbe
Mkuu sasa nipo tuUnafurahia ndoa na mume yupi? Jana huyo mumeo si alikuwa na rundo la pete anapeleka kwa mke mwingine? Au upo kwenye mitala?
Andjul hana shida. Amegeukia nyimbo za injili na atakuwa OK...
Panda mti 1 kata 10Tutunze misitu yetu
Kweli aisee ila yule niachie I just want to make it up kwakeNi kweli kabisa ndugu yangu.
Maana undugu hauwezi kuisha hivi.
KabisaTutunze na kuwalinda wanyama wetu