Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2e6b2abdfb5f163a2a6d881891400c2e.jpg
 
Habari za mchana wakuu, samahani leo nimebarikiwa kuwa na nyimbo za zamani ambazo tulizisikiliza eidha kwa wengine tukichunga ng'ombe na wengine wa mjini zilisikika sana madukani,mfano wimbo huo hapo chini. Au kwenye nyumba ya jirani vipindi vya wakati wa kazi, mchana mwema, alasiri, chaguo la msikilizaji, n.k.

Shukurani mdogo wangu
 
nimeu download

Tayari ndani ya sekunde 20 umeshakuwa wangu pia kwa simu
 
Shukurani mdogo wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante mkuu, ila nimeshiriki maandamano ya kumpokea Mtukufu rais wa kwanza wa Tanzania, tukijipanga barabarani na tawi la mti mkononi likipungwa hewani. Mtukufu akiwa ndani ya land rover ya silver huku mkono akitupungia kwa bashasha.Nakusahihisha tu neno "mdogo"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1]
 
Heshima yako Kaka
 
Back
Top Bottom