Enjoy mkuu, lengo maneno yenye mafundisho yatufikienimeu download
Tayari ndani ya sekunde 20 umeshakuwa wangu pia kwa simu
Hana hata weekendHuyu Jembekillo karudi tena shamba
Marahaba bbade, ila usitishike sijachoka sana, matumizi ya hapa na pale natupiamoHeshima yako Kaka
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Jaza ujazweeeee
Huachi kujifagilia tu.....subiria tukusifu. ...Marahaba bbade, ila usitishike sijachoka sana, matumizi ya hapa na pale natupiamo
Yap unatakiwa kupozwaTwende tukapumzike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watoto wanafungua shule kesho, nina hela ya ada tu. Nimekujibu kibashite ila umenielewa mkuuHuachi kujifagilia tu.....subiria tukusifu. ...
Nikumbushe jina la mnyama kwemye dp yako
Kweli kabisa cocochanelElimu haina mwisho
Umenipotezaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watoto wanafungua shule kesho, nina hela ya ada tu. Nimekujibu kibashite ila umenielewa mkuu
Kwa upendo na amaniNasambaza like