Basi weekend hii nashinda kwa milly bila kupoteza muda[emoji23]Hahahahaa miss u too.
Kuna ubuyu wa code kwa milly weekend ataumwaga
Ajali mbaya mno
Nimeona cr7 kapewa red card,pole sana
Basi weekend hii nashinda kwa milly bila kupoteza muda[emoji23]
Katika pitapita huko insta nikakuta kuna page inagawa vocha duh bora kuwahi ubuyu mtamu kuliko kuganda sehumu moja kuwahi vochaBasi weekend hii nashinda kwa milly bila kupoteza muda[emoji23]
😂😂😂Nimeona cr7 kapewa red card,pole sana
Asante.Kaonewa sana kwa ile kadiNimeona cr7 kapewa red card,pole sana
KweliAsante.Kaonewa sana kwa ile kadi
[emoji23][emoji23][emoji23]Si uje ushinde kwangu bathii, we nae! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ni sawa na sadakalawe mwenye kupata apateKatika pitapita huko insta nikakuta kuna page inagawa vocha duh bora kuwahi ubuyu mtamu kuliko kuganda sehumu moja kuwahi vocha
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mvinyo?maana nataka kulewa[emoji125][emoji125]
Jirani unataka kulewa eneo gani? Kichwani au kiunonnn...[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mvinyo?maana nataka kulewa[emoji125][emoji125]
Oni mai weiii[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hiyo ikosekane tena? Tena ile nyekundu! [emoji39][emoji39]