Maana wengine tuliokutana nayo maishani ni KHERI KUWA HIVYO WALAHI!
polen sana aiseeMaana wengine tuliokutana nayo maishani ni KHERI KUWA HIVYO WALAHI!
Ndio tumesha shtuka milele walahi!polen sana aisee
Niko poaMorning.. how ar u!!
Lazima kichwa kichangamkeMatatizo ni pale unapokuwa umefika ukweni
usiku na haja kubwa ikakubana na hukuwa
unajua choo kilipo, ukatoka nje na kujisaidia
kwenye majani kumbe ni mboga asubuhi
ukasikia mama mkwe anasema kuna mjinga
kajisaidia kwenye mboga na kaangusha pochi
yake hapohapo haa! Vile unajisachi pochi
hamna na kulikuwa na passport,vitambulisho,
kadi ya benki, pesa zaidi ya laki 2 na nusu,
funguo za nyumba yako😀😀