Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Matatizo ni pale unapokuwa umefika ukweni
usiku na haja kubwa ikakubana na hukuwa
unajua choo kilipo, ukatoka nje na kujisaidia
kwenye majani kumbe ni mboga asubuhi
ukasikia mama mkwe anasema kuna mjinga
kajisaidia kwenye mboga na kaangusha pochi
yake hapohapo haa! Vile unajisachi pochi
hamna na kulikuwa na passport,vitambulisho,
kadi ya benki, pesa zaidi ya laki 2 na nusu,
funguo za nyumba yakoπŸ˜€πŸ˜€
 
Lazima kichwa kichangamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…