Ndiyo. Ni safari ya siku moja moja. Sekunde kwa sekunde. Dakika kwa dakika. Saa kwa saa. Juma kwa juma. Mwezi kwa mwezi. Mwaka kwa mwaka. Muongo kwa muongo. Karne kwa karne. Milenia kwa milenia....Dunia daima inajizungusha nasi tumefumwa mumo kwa mumo katika mzunguko huo mithili ya konokono (mnyama) gambani mwake. Hatuna pa kukimbilia na njia yetu ni moja tu...Mungu na Atusaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Asubuhi nyingine Tena