Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asubuhi nyingine Tena
Ndiyo. Ni safari ya siku moja moja. Sekunde kwa sekunde. Dakika kwa dakika. Saa kwa saa. Juma kwa juma. Mwezi kwa mwezi. Mwaka kwa mwaka. Muongo kwa muongo. Karne kwa karne. Milenia kwa milenia....Dunia daima inajizungusha nasi tumefumwa mumo kwa mumo katika mzunguko huo mithili ya konokono (mnyama) gambani mwake. Hatuna pa kukimbilia na njia yetu ni moja tu...Mungu na Atusaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…