Mnaposali msipayuke maneno kama watu wasiomjua mungu, Bali ingia chumbani mwako Funga mlango Kisha muombe baba yako alie mbinguni kimoyomoyo kwa kuwa yeye huona mpaka yaliyo sirini
*Wale viranja mliokuwa mnatupangia maeneo makubwa ya kufyeka na kufagia kipindi tupo shule ya msingi; ;; Nilikuwa napenda kuuliza kuwa maisha yanaendeleaje hapo WIZARA YA ARDHI*???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.