Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Wale viranja mliokuwa mnatupangia maeneo makubwa ya kufyeka na kufagia kipindi tupo shule ya msingi; ;; Nilikuwa napenda kuuliza kuwa maisha yanaendeleaje hapo WIZARA YA ARDHI*???

[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji847][emoji847][emoji23][emoji23]
 
Usimlaumu mtu kabla ya kumchunguza, fikiria kwanza kuhusu yeye ndipo utoe lawama na siku zote sikiliza kabla hujajibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…