cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Wewe mbona mchoyo kugawa likes kwa wenzako?Ulikuwa wapi kuwahi humu
Ni jinsi ya kucheza tu.Hii game easy sana
Asante Mkuu kwa taarifaFT SIMBA STARS 1-0 BAFANA BAFANA
Alafu wewe siulisema unaogopa upendo?imekuaje tena??Hakuna vina huyu niachie cheki kwngne tu
Ww Toa likes Pata likes
Mama itakuwa uliondoka ukiwa bado unanipenda eti? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtaraka hatongozwiWw ndio ulikuwa unanipotezea muda.
acha dharau dogoKuja kuburudika na wadogo zetu
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mi nimerudi tu mkuu hataki kutana na mimi si unajua ukipenda mtu inabidi kukubali tu nini anapenda ila unaruhusu kwenda ili awe happy.
Now nipo nipo tu mkuu