Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Sasa huo upande sipo mkuuHalafu ninyi mnapendana kweli.
Sasa huo upande sipo mkuuHalafu ninyi mnapendana kweli.
Toa likes Pata likesMadrid
Ha ha ha ha nilipataga homa Mkuu kwa hiyo kituAhahaha!! Hapana. Nahisi ni Homa tu. Kesho nitapima.
Vipi maisha
Wewe kila siku unapata wapyaKwangu mm njema saana maana leo nimempata anipendae
Toa likes Pata likesDah! Kweli
Karibuni tena kwa uwili wenu. Pole kwa uchovu wa safariCocochanel, Babe S, GeJo, KK aka Kichwa Kichafu, dogo Andjul, nsamaka, BigBaba, Aleyn, ISIS, Cole Williams, Carbamazepine, Shimba ya Buyenze, gbefa na wengine wote....
Niliwamiss sana watu wangu wa nguvu. Habari za siku mbili tatu?
Mimi kuna mtu simpi likes kwa sasaKweli kabisa. Rule #1 ya humu inajieleza kabisa
Koh kohMama itakuwa uliondoka ukiwa bado unanipenda eti? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtaraka hatongozwi
Tulisongeshe gurudumuKaribu kilingeni
Ukichekaga mm nafurahi SafiHahahaha
Hahahhahaha kumbe unakuwaga muoga enh?Sasa huo upande sipo mkuu