Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
huu uzi bado upo???Aaah kumbe
Amen..[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]*KWAKO BWANA NAPUMZIKA*
Ee Mungu na Muumba wetu, Asante kwa kunilinda siku nzima ya leo.
Nasema kwa kuwa nami tangu nilipoamka hadi muda huu ninapokwenda kuupumzisha mwili huu.
Ee Mungu, ni wengi tulianza nao siku ya leo kama nilivyoianza mimi, ila kwa mapenzi yako Wewe uliye asili ya uzima wetu, hawakuweza kufikia muda na wakati huu.
Ee Yesu na Mwokozi wetu, tunawaweka mikononi mwako wafiwa wote usiku huu: wajane, wagane, na yatima wote walioachwa. Ee Yesu wajalie faraja ya kweli. Nawe Mama Bikira mfariji wa wenye uchungu, utuombee.
Ninayaomba hayo yote kwa njia ya Kristo Bwana wetu. Amina.
Mungu wangu
With Almighty One speedMungu atupe siku njema
With Almighty One speed walahi*KWAKO BWANA NAPUMZIKA*