Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bi9J60ghnGs.jpg
 
Jacob Shabani (30) mkazi wa kijiji cha Wanzamiso kata ya Igokelo wilayani Misungiwi Mkoa wa Mwanza amefikishwa mahakamani kwa tuhuma ya kufanya mapenzi na mwanaye mara tatu na kumpa ujauzito.

Akisomewa hati ya mashtaka leo Septemba 25, 2018 mbele ya hakimu Mkuu Mkazi mfawidhi Erick Marley, mwendesha mashitaka wa polisi, Ramsoney Salehe amedai tangu 2015 mshtakiwa alikuwa akiishi kinyumba na mwanaye mwenye umri wa miaka 17.

Amedai binti huyo alipata ujauzito na mimba ikaharibika na mwaka 2016 akapata mimba ya pili na kujifungua mtoto wa kike ambaye alifariki mwaka huo huo na sasa amejifungua mtoto ana wiki mbili na ana ubini wa baba.
 
Back
Top Bottom